Browsing: Msamaha

Lailatul Qadr ni usiku mtukufu ambao ibada zake ni bora kuliko miezi elfu. Jifunze dua bora alizofundisha Mtume (SAW) kwa ajili ya kuomba msamaha na kufaulu katika usiku huu.